Kibintulu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wabintulu. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kibintulu imehesabiwa kuwa watu 4200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibintulu iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.