Kibirifor-Kusini

Kibirifor-Kusini ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wabirifor. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kibirifor-Kusini nchini Ghana imehesabiwa kuwa watu 125,000. Pia kuna wasemaji zaidi ya 4000 nchini Cote d'Ivoire. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibirifor-Kusini iko katika kundi la Kigur.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne