Kibo (lugha)

Kibo ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wabo. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kibo imehesabiwa kuwa watu 85. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibo iko katika kundi la Kiarai.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne