Kibom ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sierra Leone inayozungumzwa na Wabom. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kibom imehesabiwa kuwa watu 5580. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibom kiko katika kundi la Kiatlantiki.
Developed by Nelliwinne