Kibonyezo

Vibonyezo vya baobonye.

Katika utarakilishi, kibonyezo (kwa Kiingereza: key) ni mtambo wa badili kinachotumiwa ili kudhibiti tarakilishi au mashine.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne