Kibookan

Kibookan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wabookan. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibookan imehesabiwa kuwa watu 1700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibookan iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne