Kibulgaria

Kibulgaria (kwa Kibulgaria: български език, bălgarski ezik [ˈbɤ̞lgɐrski ɛˈzik]) ni moja kati ya Lugha za Kihindi-Kiulaya kinachozungumzwa zaidi katika nchi ya Bulgaria.

Kibulgaria ni moja katika Muungano wa Lugha za Balkan, ambao unajumlisha Kigiriki, Kimasedonia, Kiromania, Kialbania na Kitorlakia ambacho kina lafudhi ya lugha ya Kiserbia. Kibulgaria kinafanana kabisa na Kimasedonia na Kiserbia, ambavyo vyote vina asili moja ya Slavoni - Kibulgaria.

Wanaoongea Kibulgaria ni watu milioni 9 hivi.

Alfabeti yake ni kama ifuatavyo:

А а
[a]
Б б
[b]
В в
[v]
Г г
[g]
Д д
[d]
Е е
[ɛ]
Ж ж
[ʒ]
З з
[z]
И и
[i]
Й й
[j]
К к
[k]
Л л
[l]
М м
[m]
Н н
[n]
О о
[ɔ]
П п
[p]
Р р
[r]
С с
[s]
Т т
[t]
У у
[u]
Ф ф
[f]
Х х
[x]
Ц ц
[ʦ]
Ч ч
[ʧ]
Ш ш
[ʃ]
Щ щ
[ʃt]
Ъ ъ
[ɤ̞], [ə]
Ь ь
[◌ʲ]
Ю ю
[ju]
Я я
[ja]

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne