Kibullom-So

Kibullom-So ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sierra Leone inayozungumzwa na Wabullom. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kibullom-So nchini Sierra Leone imehesabiwa kuwa watu 8350. Pia kuna wasemaji wachache nchini Guinea. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibullom-So kiko katika kundi la Kiatlantiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne