Kibumaji ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wabumaji. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibumaji imehesabiwa kuwa watu 11,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibumaji iko katika kundi la Cross River.
Developed by Nelliwinne