Kibuol (pia Kidia) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabuol kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibuol imehesabiwa kuwa watu 96,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibuol iko katika kundi la Kifilipino.