Kiburduna

Kiburduna ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waburduna katika jimbo la Australia ya Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiburduna ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiburduna kiko katika kundi la Kikanyara.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne