Kiburunge

Kiburunge ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Tanzania inayozungumzwa na Waburunge. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kiburunge ilihesabiwa kuwa watu 13,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi Kiburunge iko katika kundi la lugha za Kikushi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne