Kibusami

Kibusami ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabusami kwenye kisiwa cha Serui. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kibusami imehesabiwa kuwa watu 700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibusami iko katika kundi la Kiyapen.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne