Kibwezi ni mji wa Kenya Mashariki, kaunti ya Makueni. Wanaoishi mjini ni watu 4,695, lakini kata nzima inao 80,236.
Developed by Nelliwinne