Katika utarakilishi, kichakata matini (kwa Kiingereza: word processor) ni kifaa au programu za kompyuta zinachotumika ili kuandika na kuhariri maandiko.
Developed by Nelliwinne