Kichambeali ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wachambeali. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kichambeali imehesabiwa kuwa watu 130,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichambeali iko katika kundi la Kiaryan.
Developed by Nelliwinne