Kicineni ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wacineni. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kicineni imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kicineni iko katika kundi la Kichadiki.
Developed by Nelliwinne