Kicori ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wacori. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kicori imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kicori iko katika kundi la Plateau.
Developed by Nelliwinne