Kidenya

Kidenya ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wadenya. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kidenya imehesabiwa kuwa watu 11,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidenya iko katika kundi la Kimamfe ambalo linafanana na lugha za Kibantu.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne