Kidhurga

Kidhurga kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wadhurga katika jimbo la New South Wales. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kidhurga ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidhurga kiko katika kundi la Kiyuin.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne