Kidida-Lakota

Kidida-Lakota ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wadida. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kidida-Lakota imehesabiwa kuwa watu 93,800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidida-Lakota iko katika kundi la Kikru.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne