Kidimbong ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wadimbong. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kidimbong imehesabiwa kuwa watu 140 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kidimbong iko katika kundi la A50.
Developed by Nelliwinne