Kidira ni mji uliopo katika nchi ya Senegal, mkoa wa Tambacounda.
Mwaka 2013 idadi ya watu ilikadiriwa kuwa 10,064 [1]
Developed by Nelliwinne