Kidiri (lugha)

Kidiri ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wadiri. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kidiri imehesabiwa kuwa watu 7200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidiri iko katika kundi la Kichadiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne