Kidogon, Yanda Dom

Kiyanda ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Mali inayozungumzwa na Wadogon. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kiyanda imehesabiwa kuwa watu 2,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyanda iko katika kundi la Kidogon.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne