Kidong

Kidong ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wadong. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kidong imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidong iko katika kundi la Kidakoidi linalofanana na lugha za Kibantu.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne