Kiembu ni lugha ya Kibantu nchini Kenya inayozungumzwa na Waembu. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kiembu imehesabiwa kuwa watu 429,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiembu iko katika kundi la E50.
Developed by Nelliwinne