Kiesan

Kiesan ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waesan. Mwaka wa 1973 idadi ya wasemaji wa Kiesan imehesabiwa kuwa watu 200,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiesan iko katika kundi la Kiedoidi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne