Kifaa cha kutunzia ni chombo cha tarakilishi kinachotumiwa kwa kutunza rasilimali ya tarakilishi. Kwa mfano, diski ngumu, RAM au kisahani (CD) ni vifaa vya kutunzia.
Developed by Nelliwinne