Kigaa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wagaa. Mwaka wa 1997 idadi ya wasemaji wa Kigaa imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigaa iko katika kundi la Kidakoidi linalofanana na lugha za Kibantu.