Kigaddang

Kigaddang ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wagaddang. Mwaka wa 1984 idadi ya wasemaji wa Kigaddang imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigaddang iko katika kundi la Kifilipino.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne