Kigaddi

Kigaddi ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wagaddi. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kigaddi imehesabiwa kuwa watu 110,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kigaddi iko katika kundi la Kiaryan.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne