Kigbe-Weme

Kigbe-Weme ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Benin inayozungumzwa na Wagbe. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kigbe-Weme imehesabiwa kuwa watu 60,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigbe-Weme iko katika kundi la Kikwa.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne