Kige ni lugha ya Kihmong-Mien nchini Uchina inayozungumzwa na Wamiao. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kige imehesabiwa kuwa watu 60,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kige iko katika kundi la Kihmongiki.
Developed by Nelliwinne