Picha hii inatazamwa kuwa mali ya umma kwa sababu hakimiliki zake zimekwisha. Mtungaji wa picha alifariki dunia zaidi ya miaka 70 iliyopita. Hata kama mtungaji wa picha hajulikani picha hii imetolewa wakati unaosababisha uhakika wa kwamba mtungaji alifariki angalau miaka 70 iliyopita.
|