Kigikyode

Kigikyode ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wagikyode. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kigikyode imehesabiwa kuwa watu 10,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigikyode iko katika kundi la Kikwa.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne