Kigolin

Kigolin ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wagolin. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kigolin imehesabiwa kuwa watu 51,100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigolin iko katika kundi la Kichimbu.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne