Kigudang

Kigudang kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wagudang katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kigudang ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigudang kiko katika kundi la Kipaman.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne