Kiguruntum-Mbaaru

Kiguruntum-Mbaaru ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Waguruntum na Wambaaru. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kiguruntum-Mbaaru imehesabiwa kuwa watu 15,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiguruntum-Mbaaru iko katika kundi la Kichadiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne