Kigusilay ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Senegal inayozungumzwa na Wagusilay. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kigusilay imehesabiwa kuwa watu 15,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigusilay iko katika kundi la Kiatlantiki.
Developed by Nelliwinne