Kihalia

Kihalia ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wahalia. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kihalia imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihalia iko katika kundi la Kioseaniki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne