Kiheiban ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sudan inayozungumzwa na Waheiban. Mwaka wa 1984 idadi ya wasemaji wa Kiheiban imehesabiwa kuwa watu 4410. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiheiban iko katika kundi la Kikordofani.
Developed by Nelliwinne