Kihema

'Kihema ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wahema. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kihema imehesabiwa kuwa watu 125,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kihema iko katika kundi la J10.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne