Kihoma ilikuwa lugha ya Kibantu nchini Sudan Kusini iliyozungumzwa na Wahoma. Tangu 1975 hakuna wasemaji wa Kihoma tena, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kihoma iko katika kundi la D30.
Developed by Nelliwinne