Kiipulo

Kiipulo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Waipulo. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kiipulo imehesabiwa kuwa watu 2500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiipulo iko katika kundi la Kitivoidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne