Kiitawit ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Waitawit. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kiitawit imehesabiwa kuwa watu 134,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiitawit iko katika kundi la Kifilipino.
Developed by Nelliwinne