Kijivu

Aina za kijivu.

Kijivu (kwa Kiingereza: "grey") ni jina la aina za rangi zinazocheza kati ya nyeusi na nyeupe kwa kuzichanganya kwa kadiri tofautitofauti.

Jina la rangi hiyo linatokana na majivu. Simiti ina rangi ya kijivu, pia tembo inaweza kuonyesha rangi hiyo.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne