Kijuray

Kijuray ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi inayozungumzwa na Wajuray. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kijuray imehesabiwa kuwa watu 801,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kijuray iko katika kundi la Kimunda.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne