Kikabwa ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakabwa. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kikabwa imehesabiwa kuwa watu 14,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikabwa iko katika kundi la E40.
Developed by Nelliwinne