Kikaguru

Kikaguru (pia huitwa Chikagulu) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakaguru. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kikaguru imehesabiwa kuwa watu 241,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikaguru iko katika kundi la G10.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne